FUNGUO ZA UFALME WA MBINGUNI
E-Book
Secure
Reliable
Easy

FUNGUO ZA UFALME WA MBINGUNI

By MUTA LAWRENCE

Published by MUTA LAWRENCE

E-Book Kiswahili

TZS 12,000

Instant access
Select Quantity

Instant access to our digital reader after payment.

KUIHUBIRI INJILI YA UFALME WA MUNGU Yesu Kristo alipoondoka hapa duniani aliacha agizo moja la msingi katika (Marko 16:15-18), “akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa. Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.” Kanisa la leo linahubiri matokeo ya hilo agizo, mfano- baraka (mafanikio), na karama za Roho Mtakatifu- mfano (uponyaji, miujiza na unabii), badala ya kuhubiri agizo lenyewe; halifahamu hiyo Injili (habari njema) tuliagizwa kuihubiri ni ipi? Matokeo yake limehubiri Injili nyingine na kujiweka chini ya laana (Wagalatia 1:6-9) ambayo baadhi ya matokeo yake ni kuharibika kwa afya ya akili na mwili (magonjwa), kuvunjika kwa mahusiano (ndoa) na hali ngumu ya kiuchumi (umaskini). Katika kitabu hiki utajifunza mambo ya msingi katika UFALME WA MUNGU, mfano, hiyo Injili (habari njema) tuliyoagizwa tuihubiri ni ipi? Wokovu, ujazo wa Roho Mtakatifu, uwepo wa Mungu, karama za Roho Mtakatifu, imani, mamlaka ya anayeamini, maombi, utumishi, mahusiano n.k. Kila mwana wa Mungu atakapoyafanyia kazi mapenzi ya Mungu makamilifu kama Yesu (Yohana 4:31-34, 6:35-40, 17:4), mtume Paulo (Waefeso 1:1), (Wagalatia 1:1), na mfalme Daudi (Matendo 13:36), ndipo kanisa litakuwa na nguvu kama kanisa la mwanzo lililokuwa chini ya mitume.
Book Title
FUNGUO ZA UFALME WA MBINGUNI
Author
MUTA LAWRENCE
Format
E-Book
Language
Kiswahili
File Format
PDF
Pages
41 pages
Delivery
Secure online reader
0.0 0.0 0 reviews
5 0
4 0
3 0
2 0
1 0
Sign in to review a book you have bought.

No reviews yet. Be the first reader to share your thoughts.

You May Also Like

Discover more spiritual wisdom from our collection.

View All
KUANZA KATIKA ROHO,  KUMALIZIA KATIKA MWILI?
EBOOK
KUANZA KATIKA ROHO, KUMALIZIA KATIKA MWILI?

MWL JOSHUA MHINGO

TZS 5,000 View
Nafasi ya Baba Kwenye Malezi
EBOOK
Nafasi ya Baba Kwenye Malezi

NOEL B. TENGA

TZS 2,500 View
SIRI ZA KIJANA WA KIUME
EBOOK
SIRI ZA KIJANA WA KIUME

NOEL B. TENGA

TZS 2,500 View
TUMEUMBWA KUABUDU
EBOOK
TUMEUMBWA KUABUDU

MWL JOSHUA MHINGO

TZS 1,000 View
Need help? +255 618 330 260